Kuwa mtafiti mtumiaji wa jamii
Wewe ni mtafiti wa muundo, mtafiti wa mtumiaji, mwanafunzi au mtu aliye na nia ya kujifunza zaidi kuhusu watumiaji wa Tor? Je, una mawazo mapya, mapendekezo au utafiti ambao unaweza kusaidia kuboresha programu za Tor? Tusaidie kwa kuratibu utafiti wa watumiaji na jumuiya ya eneo lako, na upate kujifunza zaidi kuhusu mbinu bora za kufanya kazi na watumiaji walio hatarini.
Orodha ya baruapepe za timu ya UX