Running security training is a fun and rewarding way to help your community conduct human rights work safely. Good preparation is essential to an effective and safe training, so we've curated some resources to help you make the most of your training event.

Kabla ya mafunzo

Je, mimi ndiye mtu sahihi wa kutoa mafunzo haya?

Security trainings can help people communicate and use the internet safely, but there are additional considerations to be made before training some at-risk groups. That's why we recommend this resource from EFF's Security Education Companion, "Am I the right person to give this training?". This resource can help you be sure that you're doing the best by the community of people you wish to train.

Other questions to ask yourself before deciding to do a training:

  • Utatathminije mahitaji ya kikundi chako? Ni mahitaji gani unaweza kukidhi?
  • Utatathminije kiwango cha ujuzi wa kikundi chako? Je, unaweza kufundisha viwango gani vya ujuzi?

Once you've answered those questions, you're ready to plan your training!

  1. Tafuta eneo ambalo linafikika, kwa bei nafuu, na lina muunganisho wa intaneti na nyenzozingine kama vile ubao mweupe , projekta na skrini. Make sure that the location is safe for your attendees to visit.
  2. Tangaza tukio lako katika nafasi za jumuiya yako ukizingatia usalama. Under many circumstances, social media is great for promotion, but for higher risk groups, you may want to use a smaller word-of-mouth network or require community members to share information individually to other trusted people.
  3. Unda vijitabu vilivyojanibishwa kwa baadhi ya dhana ngumu zaidi ambazo utakuwa unafundisha.
  4. Hakikisha kuwa una vibandiko vingi vya kuwagawia washiriki!
  5. Unda orodha ya kiungo ya nyenzo zote utakazokuwa ukizungumzia. This includes downloads and PDFs of handouts. You'll share this link list on a whiteboard or project it at the training.
  6. Amua jinsi utafanya usaidizi wa vitendo kwenye mafunzo yako. Will you be able to handle this alone? Or will you require partners? If you need more help, make sure the partners you're bringing in are aware of the safety needs of the community, and communicate with your contacts in the community to make sure they're okay with you bringing in additional trainers.
  7. Hakikisha wasilisho lako ni la kisasa (maelezo na picha za skrini) na uhifadhi wasilisho lako katika miundo miwili ya faili -- kwa mfano, odp na pdf -- na kwa angalau kifaa kimoja cha ziada -- kwa mfano, kwenye kompyuta yako na kwenye fimbo ya USB.
  8. Amua jinsi utakavyowezesha nafasi salama zaidi.Tunapendekeza kutumia Kanuni za maadili ya Tor.

You can also start the training by asking participants to come up with their own community agreements for the space.

 Katika mafunzo

  1. Unda ajenda na uishiriki kwenye makadirio au kwenye ubao mweupe ili washiriki wako wawe tayari kwa siku hiyo. 2.Wasiliana kuhusu muda gani mafunzo yatachukua na wakati mapumziko yatafanyika. Hakikisha unachukua mapumziko!
  2. Wasiliana kuhusu wakati utakapochukua maswali iwe wakati wa mafunzo, mwishoni au zote mbili.
  3. Wasiliana kuhusu jinsi utakavyotoa usaidizi wa vitendo (ikiwa kabisa).
  4. Wasiliana jinsi washiriki watakavyo wasiliana nawe kwa usalama baada ya mafunzo.
  5. Onyesha washiriki rasilimali kwenye sgapqzbrdr.oedi.net na jqlsbiwihs.oedi.net.
  6. Waonyeshe washirika nyenzo zingine kama sec.eff.org.

 Baada ya mafunzo

  1. Fikiria jinsi utakavyotathmini mafanikio yako kwenye mafunzo.

You may want to create a follow up survey, or at least contact participants and ask them to share their feedback with you.