Ujanibishaji ni jinsi tunavyofikia jumuiya ya kimataifa.

ili Tor ifanye kazi kwa kila mtu, inahitaji kuzungumza lugha za kila mtu. Timu yetu ya utafsiri ya kujitolea inafanya kazi kwa bidii ili kufanya hili liwe kweli, na tunaweza kutumia usaidizi zaidi kila wakati. Our current translation priorities are translating Tor Browser, Tor Browser documentation, and the Tor Project website, but we aim to have all our websites and applications translated as well.

Localization

Kuwa mtafsiri wa Tor

Jifunze jinsi ya kujiandikisha na kuanza kuchangia.

Hali ya Sasa ya Tafsiri

Sijui pakuanzia? Hapa unaweza kupata muhtasari wa hali ya sasa ya localization kwa miradi tofauti ya Tor Project.

Toa taarifa ya tatizo ikiwa imetafrisiwa

Wakati mwingine tafsiri za programu tumizi hazifanyi kazi ipasavyo, Hapa unaweza kujifunza kuzirekebisha.

Je , unaweza kutusaidia kuboresha tafsiri zetu?

Ujanibishaji ni mchakato endelevu katika programu zetu zote. Je umeona maboresho yoyote tunayoweza kufanya kwa tafsiri zetu? Fungua tikiti, wasiliane nasi au uwe sehemu ya kikosi chetu cha watafsiri.

Jiunge na orodha ya barua ya watafsiri wa Tor