Support tools that break the chains of censorship and surveillance. Donate to the Tor Project today.
Through December 31, your gift will be matched, up to $250,000!
Tafsiri zetu zimefanywa na watu waliojitolea, na wakati mwingine kunaweza kuwa na makosa. Tunahitaji usaidizi mara nyingi ili kuboresha tafsiri zetu, na jinsi tovuti zetu zinavyobadilisha tafsiri hupitwa na wakati. Ukipata makosa mengi kwenye tafsiri, tafadhali zingatia kuchangia tafsiri zetu.