1. Wezesha usasishaji wa kiotomatiki wa programu
Mojawapo ya mambo muhimu zaidi ya kuweka rilei yako salama ni kusakinisha masasisho ya usalama kwa wakati unaofaa na kiotomatiki ili usiweze kusahau kuihusu.
Fuata maelekezo ili kuwezesha usasishaji wa programu ya kiotomatiki kwenye mfumo wako wa uendeshaji.
2. Sanidi hazina ya mradi wa Tor
Kusanidi hazina ya kifurushi cha mradi wa Tor kwa Debian/Ubuntu kumeandikwa here. Tafadhali fuata maagizo hayo kabla ya kuendelea.
3. Usakinishaji wa kifurushi
Ensure you update the packages database before installing the package, then call apt
to install it:
# apt update
# apt install tor
4. Faili ya Usanidi
Weka faili yako ya usanidi /etc/tor/torrc
katika mahali pake
Jina la utani myNiceRelay # Badilisha "myNiceRelay" iwe kitu unachokipenda
ContactInfo your@e-mail # Andika barua pepe yako ukiwa unafahamu kuwa itachapishwa
ORPort 443 # Unaweza kutumia bandari tofauti ikiwa utataka
ExitRelay 0
SocksPort 0
5. Anzisha tena huduma
Anzisha tena tor
daemon ili mabadiliko ya usanidi wako itekelezwe:
# systemctl restart tor@default
6. Maelezo ya mwisho
Ikiwa unapata shida kusanidi rilei yako tazama sehemu ya msaada wetu.
Ikiwa rilei yako inaendeshwa sasa angalia maelezo ya baada ya kusakinisha.